Barnaba ft Aslay Ngomma Lyrics Iyaka…alelelelele nisange na ngoma iyo Nisange na ngoma iyo mama (nisange na ngoma iyo) Nisange na ngoma iyo mama (nikute na ngoma iyo) Nikute na ngoma iyo (maria) maria mama Nisange na ngoma iyo Nisange na ngoma iyo maria mwanangu Nilimujaza tumbo mama yak ah Mama akakuleka mwanae oh sasa umekua mama hmm Nisange na ngoma hiyo Isa isange na ngoma hiyo mamamama (nikute na ngoma hiyo) Sasa umekua mamamama (maria mama) Nisange na ngoma hiyo Yale tuliokufunza mie na bibi yako (nisange na ngoma iyo) Uende ushike ukatunze nyumba yako (nikute na ngoma iyo) Nikute nango nikute na ngoma mamamama (maria mama nisange na ngoma iyo) Kwa sasa umekua utatusaidia ninganachotegemea utatusaidia Na kakayo elimu sina na wewe ndo nakutegemea maria Maria we (nisange na ngoma iyo) Si unajua uchungu wa mzazi dada maria (nikute na ngoma iyo) Atakuja atakumwaga razi kisha utali chunga Vibarazani watacheza karata mastela Dada linda ndoa yako mumeo asirudi kua bachelor Watakuta...