Skip to main content

Barnaba ft Aslay - Ngoma Lyrics

Barnaba ft Aslay Ngomma Lyrics Iyaka…alelelelele nisange na ngoma iyo Nisange na ngoma iyo mama (nisange na ngoma iyo) Nisange na ngoma iyo mama (nikute na ngoma iyo) Nikute na ngoma iyo (maria) maria mama Nisange na ngoma iyo Nisange na ngoma iyo maria mwanangu Nilimujaza tumbo mama yak ah Mama akakuleka mwanae oh sasa umekua mama hmm Nisange na ngoma hiyo Isa isange na ngoma hiyo mamamama (nikute na ngoma hiyo) Sasa umekua mamamama (maria mama) Nisange na ngoma hiyo Yale tuliokufunza mie na bibi yako (nisange na ngoma iyo) Uende ushike ukatunze nyumba yako (nikute na ngoma iyo) Nikute nango nikute na ngoma mamamama (maria mama nisange na ngoma iyo) Kwa sasa umekua utatusaidia ninganachotegemea utatusaidia Na kakayo elimu sina na wewe ndo nakutegemea maria Maria we (nisange na ngoma iyo) Si unajua uchungu wa mzazi dada maria (nikute na ngoma iyo) Atakuja atakumwaga razi kisha utali chunga Vibarazani watacheza karata mastela Dada linda ndoa yako mumeo asirudi kua bachelor Watakutamani waone undani wako Dada linda uwa lako mpende mume wakoo mume wako (nisange na ngoma iyo) Isa isange na ngoma hiyo mamamama (nikute na ngoma iyo) Sasa umekua mamamama (maria mama) Nisange na ngoma iyo Yale tuliokufunza mie na bibi yako (nisange na ngoma iyo) Uende ushike ukatunze nyumba yako (nikute na ngoma iyo) Nikute nango nikute na ngoma mamamama ( maria mama) aiyoo Maria kelele kwa mumeo chunga Maria si mudogo tena ungo umevunja (maria mwana lele) Hivo viziwa dedede chunga wasikubebe Zama za ukweli na uwaze maria mwanangu (ohoho) Na mumeo harogwi na dumba mwanangu Anarogwa na madikodiko mama Akirudi anafunua sambusa mara vitumbua Chakula kijaungua ndo sifa ya mwanamke mwanangu Sa sange na ngoma hiyo mama (nikute na ngoma iyo) Nenda salama dada (maria mama nisange na ngoma iyo) Sange na ngoma hiyo mama (nisange na ngoma iyo) Maria nitakumiss sana dada (nikute na ngoma iyo) Oh dada (maria mama ) nisange na ngoma iyee

Comments

Popular posts from this blog

Nyashinski - Hayawani (Official Lyrics)

Nyashinski "Hayawani" Kabla Swala ukamilishe Mama Tafadhali Mola mwambie Milele anichunge mi nisije zama Mashetani yasinivamie Chuki,wivu tunakutesa Linda kwako usiwaskie Kwa nini hatuwezi sote kupenda Oii wenzangu acha niwaambie Labda si sote wendawazimu! Labda laana yetu pesa Kesho ukipoteza kila kitu Dunia nzima itakucheka Wanaomba ntiliwe chai yangu sumu Wabaki hao ndio kusema Kesho wapigie demu wangu simu Asahau alivyonipenda! Oooh na mahayawani Hayayayaya Hayawani hawa wana si watu hawa Hayayayaya Binadamu kageuka mnyama! Hayawani hayawani hayawani Hayawani, hayawani hayayayaya Hayawani hayawani hayawani Hayawani, hayawani hayayayaya Tunaongezea nini bidii? Na roho ya mwanadamu haitosheki aki Sorry if I never made u happy I can't be there for everybody It's easy to see Wengi huishi kutafuta kasoro kwako Why man so money minded You wanna take from everyone Man eat man society Huoni haya kuvunja familia Hamna utu ni kujifikiria...

Barakah Da Prince - Sometimes (Official Lyrics)

Baraka Da Prince "Sometimes" Intro T ongeza sauti kidogo Mmmh Na Mr.T Tanzania(Touch) {Bana….} Verse 1 Mateso ni moja yaliyo mapito yangu, Maumivu ni moja kati yangazi zangu, Na hayazui macho kupenda yakipenda, Halafu haikomi roho hata kama ilitendwa, Najua hauamini nakupenda……………, Nisicho pinga mimi nakupenda………., Mwenzio ninachoamini nakupenda…….., Sibishani na roho silipingi hilo, Pre-Chorus Nagombo hagombo hainya hee, Hateli hateli ndalawa hee, Mondine mondine mama wangee, Naukinio mama…., Legombo hagombo hainya hee, Hateli hateli ndalawa hee, Mondine mondine nenyiteliwahee, Naukinio mama…., (Uwoohoo) Chorus Sometimes I miss you(Ooh Mama), Sometimes I miss you(Kipenzi changu), Sometimes I miss you(Kitinda tinda cha roho), Sometimes I miss you, Sometimes I miss you(Sometimes mama), Sometimes I miss you(eheeeee), Verse 2 Ulinipeleka race ikafa break maskini roho yangu, Bado ...

Lava Lava - Kilio Lyrics

Lava Lava KILIO LYRICS [Verse 1] Hhhm Hhhm Hali Yangu Mbaya Anifikiria akipata muda (Akipata muda) Moyo ameshaugawa Pakacha penzi linavuja (Limeshavuja) Mwenzie nna pagawa nahisi uchizi Na network haisomi Hhhm Anayofanya si sawa nakosa usingizi Mwilini miwasho na vichomi Eeeiiihh!! [Bridge] Mwambiee....! Kuachwa mateso nasulubiwa Mwenzie....! Yatima wa penzi mwana mkiwa Oh mie eeh! Mapenzi ugonjwa nimezidiwa Ni yeye..! Mwengine sioni kunitibia Uh! [Chorus] Kilio Oh Kilio Oh Kilio na penzi langu Kilio Oh Kilio Oh Huruma Haana Kilio Oh Kilio Oh Yarabi Mola wangu Kilio Oh Kilio Oh Japo simama [Verse 2] Yee ndio barafu Niliemlia yamini Pemba karafu marashi yangu mwilini Utamu wa ndafu Mbona ameuitia kwinini Amenichezea rafu Penzi amelikafili Eh..! Yee anajivinjali mwenzake nadoda Napata tu habari anagawa uroda Tetemeko moyo kupenda uoga Najiepusha mbali kukwepa vihoja [Bridge] Mwambiee....! Kuachwa mateso nasulubiwa Mwenzie....! Yatima wa penzi mwana mkiwa Oh mie eeh! Mapenzi ugonjwa nimez...