Nyashinski
"Hayawani"
Kabla Swala ukamilishe Mama
Tafadhali Mola mwambie
Milele anichunge mi nisije zama
Mashetani yasinivamie
Chuki,wivu tunakutesa
Linda kwako usiwaskie
Kwa nini hatuwezi sote kupenda
Oii wenzangu acha niwaambie
Labda si sote wendawazimu!
Labda laana yetu pesa
Kesho ukipoteza kila kitu
Dunia nzima itakucheka
Wanaomba ntiliwe chai yangu sumu
Wabaki hao ndio kusema
Kesho wapigie demu wangu simu
Asahau alivyonipenda!
Oooh na mahayawani
Hayayayaya
Hayawani hawa wana si watu hawa
Hayayayaya
Binadamu kageuka mnyama!
Hayawani hayawani hayawani
Hayawani, hayawani hayayayaya
Hayawani hayawani hayawani
Hayawani, hayawani hayayayaya
Tunaongezea nini bidii?
Na roho ya mwanadamu haitosheki aki
Sorry if I never made u happy
I can't be there for everybody
It's easy to see
Wengi huishi kutafuta kasoro kwako
Why man so money minded
You wanna take from everyone
Man eat man society
Huoni haya kuvunja familia
Hamna utu ni kujifikiria
Woii binadamu wote mmegeuka Hayawani!
Hayayayaya
Hayawani hawa wana si watu hawa
Hayayayaya
Binadamu kageuka mnyama!
Hayawani hayawani hayawani
Hayawani, hayawani hayayayaya
Hayawani hayawani hayawani
Hayawani, hayawani hayayayaya
Kabla Swala ukamilishe Mama
Tafadhali Mola mwambie
Milele anichunge mi nisije zama
Mashetani yasinivamie
Chuki,wivu tunakutesa
Linda kwako usiwaskie
Kwa nini hatuwezi sote kupenda
Binadamu acha niwaambie
Labda si sote wendawazimu!
Labda laana yetu pesa
Kesho ukipoteza kila kitu
Dunia nzima itakucheka
Wanaomba ntiliwe chai yangu sumu
Wabaki hao ndio kusema
Kesho wapigie demu wangu simu
Asahau alivyonipenda!
Hayawaani eeh hayawaani
Hayawaani eeh hayawaani
Hayawaani eeh hayawaani
Baraka Da Prince "Sometimes" Intro T ongeza sauti kidogo Mmmh Na Mr.T Tanzania(Touch) {Bana….} Verse 1 Mateso ni moja yaliyo mapito yangu, Maumivu ni moja kati yangazi zangu, Na hayazui macho kupenda yakipenda, Halafu haikomi roho hata kama ilitendwa, Najua hauamini nakupenda……………, Nisicho pinga mimi nakupenda………., Mwenzio ninachoamini nakupenda…….., Sibishani na roho silipingi hilo, Pre-Chorus Nagombo hagombo hainya hee, Hateli hateli ndalawa hee, Mondine mondine mama wangee, Naukinio mama…., Legombo hagombo hainya hee, Hateli hateli ndalawa hee, Mondine mondine nenyiteliwahee, Naukinio mama…., (Uwoohoo) Chorus Sometimes I miss you(Ooh Mama), Sometimes I miss you(Kipenzi changu), Sometimes I miss you(Kitinda tinda cha roho), Sometimes I miss you, Sometimes I miss you(Sometimes mama), Sometimes I miss you(eheeeee), Verse 2 Ulinipeleka race ikafa break maskini roho yangu, Bado ...
Comments
Post a Comment