Aslay - Mario Lyrics Baby nipe nikatumie nisipodeka kwako nikadeke kwa wapi mie Nataka gari uninunulie nataka pamba kali nipendeze Na mimi wanisifie wanisifie Mi kitandani fundi nafanya unalia kama bundi Huo wivu wako sipendi nipe pesa mi nikale tunyi Nakufundisha mapenzi japo una umri washangaza Nakudatisha kichizi mpaka mumeo unamuona makuzi eh Napatapata vitisho nikiwa kitaani Mumeo anataka kuniua eti kisa nini eh Kumbuka nina mwili wa mapenzi sina mwili wa ngumi Ila akitaka ndondi aende ulingoni badae Nibebe kwa mbeleko kama mtotoo kama mtoto Nipe pesa nikupe ukitakachoo ukitakacho Nibebe kwa mbeleko kama mtotoo kama mtoto Nipe pesa nikupe ukitakachoo Oyi eeh mama anataka pesa hana aliniomba toka jana Anataka sare aende zake kwenye ngoma Mmh basi mpe si umependa mboga penda na ua lake Akinuna atafanya zifungwe rizki zote Napatapata vitisho nikiwa kitaani Mumeo anataka kuniua eti kisa nini eh Kumbuka nina mwili wa mapenzi sina mwili wa ngumi Ila akitaka ndondi aende ulingoni badae Nibebe kwa mbeleko kama mtotoo kama mtoto Nipe pesa nikupe ukitakachoo ukitakacho Nibebe kwa mbeleko kama mtotoo kama mtoto Nipe pesa nikupe ukitakachoo Ah mi ndio Mario Mario mi ndio Mario tabibu mkubwa wa penzi lako Mi ndio Mario ah Mario mi ndio Mario tabibu mkubwa wa penzi lako
Nyashinski "Hayawani" Kabla Swala ukamilishe Mama Tafadhali Mola mwambie Milele anichunge mi nisije zama Mashetani yasinivamie Chuki,wivu tunakutesa Linda kwako usiwaskie Kwa nini hatuwezi sote kupenda Oii wenzangu acha niwaambie Labda si sote wendawazimu! Labda laana yetu pesa Kesho ukipoteza kila kitu Dunia nzima itakucheka Wanaomba ntiliwe chai yangu sumu Wabaki hao ndio kusema Kesho wapigie demu wangu simu Asahau alivyonipenda! Oooh na mahayawani Hayayayaya Hayawani hawa wana si watu hawa Hayayayaya Binadamu kageuka mnyama! Hayawani hayawani hayawani Hayawani, hayawani hayayayaya Hayawani hayawani hayawani Hayawani, hayawani hayayayaya Tunaongezea nini bidii? Na roho ya mwanadamu haitosheki aki Sorry if I never made u happy I can't be there for everybody It's easy to see Wengi huishi kutafuta kasoro kwako Why man so money minded You wanna take from everyone Man eat man society Huoni haya kuvunja familia Hamna utu ni kujifikiria...
Comments
Post a Comment