Ben Pol ft Wyse Bado Kidogo Lyrics Walimwengu wakubeza na wengine wakucheka Mwelekeo umepoteza hata mbele huoni tene Nyumbani njaa kali kazini tafrani banki una deni Biashara imefaili Na wao tu hawajui mangapi yanayokukabili Kabla ya jua kuzama una mambo mengi Yaliyofungwa kwako wee yatafunguliwa Na kabla ya jua kuzama utaona mengi Yaliyofungwa kwako wee yatafunguliwa Oh bado kidogo (bado kidogo) oh bado kidogo (bado kidogo) Oh bado kidogo (bado kidogo) oh bado kidogo (bado kidogo) Oh bado kidogo (bado kidogo) oh bado kidogo (bado kidogo) Oh bado kidogo (bado kidogo) oh usife moyo (bado kidogo) Ukifaili isijione haufai Give thanks and praise to the Most High Naona unavyofuta machozi wewe Na shida unazopata ili kusonga mbele Hatua ziko chache ili kufika kule Pambana usiyumbishwe na zao kelele Nakuona unapigania haki simama utashinda Na wao tu hawajui mangapi yanayokukabili Kabla ya jua kuzama una mambo mengi Yaliyofungwa kwako wee yatafunguliwa Na kabla ya jua kuzama utaona mengi Yaliyofungwa kwako wee yatafunguliwa Oh bado kidogo (bado kidogo) oh bado kidogo (bado kidogo) Oh bado kidogo (bado kidogo) oh bado kidogo (bado kidogo) Oh bado kidogo (bado kidogo) oh bado kidogo (bado kidogo) Oh bado kidogo (bado kidogo) oh usife moyo (bado kidogo) Usione kama vile jua lakuchoma peke yako Usione kama vile giza limetanda tu kwako Oh bado kidogo (bado kidogo) oh bado kidogo (bado kidogo) Oh bado kidogo (bado kidogo) oh bado kidogo (bado kidogo) Oh bado kidogo (bado kidogo) oh bado kidogo (bado kidogo) Oh bado kidogo (bado kidogo) oh usife moyo (bado kidogo)
Nyashinski "Hayawani" Kabla Swala ukamilishe Mama Tafadhali Mola mwambie Milele anichunge mi nisije zama Mashetani yasinivamie Chuki,wivu tunakutesa Linda kwako usiwaskie Kwa nini hatuwezi sote kupenda Oii wenzangu acha niwaambie Labda si sote wendawazimu! Labda laana yetu pesa Kesho ukipoteza kila kitu Dunia nzima itakucheka Wanaomba ntiliwe chai yangu sumu Wabaki hao ndio kusema Kesho wapigie demu wangu simu Asahau alivyonipenda! Oooh na mahayawani Hayayayaya Hayawani hawa wana si watu hawa Hayayayaya Binadamu kageuka mnyama! Hayawani hayawani hayawani Hayawani, hayawani hayayayaya Hayawani hayawani hayawani Hayawani, hayawani hayayayaya Tunaongezea nini bidii? Na roho ya mwanadamu haitosheki aki Sorry if I never made u happy I can't be there for everybody It's easy to see Wengi huishi kutafuta kasoro kwako Why man so money minded You wanna take from everyone Man eat man society Huoni haya kuvunja familia Hamna utu ni kujifikiria...
Comments
Post a Comment