Lava Lava TEJA LYRICS [Verse 1] Hhhmmm Nikutume wapi sasa njiwa Uende unitafutie kipenda roho Hhhmmm Yuuh wapi kama unanisikia Fanya unisaidie usichikoe ohhh Tumia wako ujasiri na machachali Chumvi sukari niwekeeeee Nenda na ufike mbali Ukipata hodari usisubiri nilete [Bridge] Ila sitaki kunguru mimi ehhh Akaiba ndani Kutwa kuzulula mitaaani kula mifupa Asiyojua penzi nini (eeeh) Wala shukurani (eeeh) Chochote anakula hata kile kinachonuka [Chorus] Akanifanya nikawaaaa Teja wa mapenzi Nikawa mimi Teja wa mapenzi Akili ikasinizia ehh Teja wa mapenzi Ohhh masikini Teja wa mapenzi Moyoni ntaumia ehhh [Verse 2] Mama alisema penzi sherehe Si mabomu ya machozi kutwa kulizana Na ujana ukiendekeza starehe Yule mwenye jema penzi utamuona hana maana Mapenzi sio upinzani ule wa simba na yanga Tuishi kama vitani kushikiana mapanga Mapenzi kamari uyapati kwa waganga Nishapiga sana tunguri nikaishia kutanga tanga Ndo maaana [Bridge] Sitaki kunguru mimi ehhh Akaiba ndani Kutwa kuzulula mitaaani kula mifupa Asiyojua penzi nini (eeeh) Wala shukurani (eeeh) Chochote anakula hata kile kinachonuka [Chorus] Akanifanya nikawa Teja wa mapenzi Nikiwa mimi Teja wa mapenzi Akili ikasinizia ehh Teja wa mapenzi Ohhh masikini Teja wa mapenzi Moyoni ntaumia ehhh [Outro] Na moyo akautia pancha Pancha pancha ehhhh panchaa Akautoboa Pancha pancha ehhhh panchaa Kila kona ukaweka viraka Pancha pancha ehhhh panchaa Eeeh onananalilaaaa Pancha pancha ehhhh panchaa Badala ya nazi nikapewa kidaka Pancha (Ahhhhahah) pancha ehhhh panchaa Ahhhhahah Pancha pancha ehhhh panchaa Wasafiiiiii
Nyashinski "Hayawani" Kabla Swala ukamilishe Mama Tafadhali Mola mwambie Milele anichunge mi nisije zama Mashetani yasinivamie Chuki,wivu tunakutesa Linda kwako usiwaskie Kwa nini hatuwezi sote kupenda Oii wenzangu acha niwaambie Labda si sote wendawazimu! Labda laana yetu pesa Kesho ukipoteza kila kitu Dunia nzima itakucheka Wanaomba ntiliwe chai yangu sumu Wabaki hao ndio kusema Kesho wapigie demu wangu simu Asahau alivyonipenda! Oooh na mahayawani Hayayayaya Hayawani hawa wana si watu hawa Hayayayaya Binadamu kageuka mnyama! Hayawani hayawani hayawani Hayawani, hayawani hayayayaya Hayawani hayawani hayawani Hayawani, hayawani hayayayaya Tunaongezea nini bidii? Na roho ya mwanadamu haitosheki aki Sorry if I never made u happy I can't be there for everybody It's easy to see Wengi huishi kutafuta kasoro kwako Why man so money minded You wanna take from everyone Man eat man society Huoni haya kuvunja familia Hamna utu ni kujifikiria...
Comments
Post a Comment