Skip to main content

Abdu Kiba ft Ali Kiba - Single (Official Lyrics)

Abdu Kiba
"Single"
(ft Ali Kiba)
Sule ananaumia single
Huwa anaonewa ,single yo single yo
Sina nguvu utanifunga kamba kwenye reli
Sina jinsi anajua bado nitapeli
Ila hajui tu mazoea yana shida yake
Na kila kitu sababu ni yeye yeye
Nilikuwa na nalewa (single)
Na raha ,(single)
Nilikuwa nagawa pesa nyingi sana
Nilikuwa nalewa (single) ,nalala (single)
Nilikuwa nagawa pesa nyingi sana
Single analia ,(single) anaumia (single)
Single naonewa,single yo yoyo
Single analia ,(single) anaumia (single)
Single naonewa,single yo yoyo
Hakuna mtu anapenda penzi la kejeli
Na kila siku nilale huruma nafeli
Na unajisifu,ulinikamata kweli kweli
Mtakatifu umeumbwa kupendwa wewe
Nilikuwa na raha sasa karaha sana
Nimekuwa mtumwa
Sababu ni wewe wewe
Nilikuwa na raha sasa karaha
Nimekuwa mtumwa
Sababu ni wewe wewe
Single analia ,(single) anaumia (single)
Single naonewa,single yo yoyo
Single analia ,(single) anaumia (single)
Single naonewa,single yo yoyo
Single analala,single analalamika
Anaumia sana oh
Single anaumia single
Single anaonewa
Single analalamika
Single anaonewa
Single yo single yo eih
Single analalamika sana
Single anaonewa
Single yo single yo

Comments

Popular posts from this blog

Nyashinski - Hayawani (Official Lyrics)

Nyashinski "Hayawani" Kabla Swala ukamilishe Mama Tafadhali Mola mwambie Milele anichunge mi nisije zama Mashetani yasinivamie Chuki,wivu tunakutesa Linda kwako usiwaskie Kwa nini hatuwezi sote kupenda Oii wenzangu acha niwaambie Labda si sote wendawazimu! Labda laana yetu pesa Kesho ukipoteza kila kitu Dunia nzima itakucheka Wanaomba ntiliwe chai yangu sumu Wabaki hao ndio kusema Kesho wapigie demu wangu simu Asahau alivyonipenda! Oooh na mahayawani Hayayayaya Hayawani hawa wana si watu hawa Hayayayaya Binadamu kageuka mnyama! Hayawani hayawani hayawani Hayawani, hayawani hayayayaya Hayawani hayawani hayawani Hayawani, hayawani hayayayaya Tunaongezea nini bidii? Na roho ya mwanadamu haitosheki aki Sorry if I never made u happy I can't be there for everybody It's easy to see Wengi huishi kutafuta kasoro kwako Why man so money minded You wanna take from everyone Man eat man society Huoni haya kuvunja familia Hamna utu ni kujifikiria...

Barakah Da Prince - Sometimes (Official Lyrics)

Baraka Da Prince "Sometimes" Intro T ongeza sauti kidogo Mmmh Na Mr.T Tanzania(Touch) {Bana….} Verse 1 Mateso ni moja yaliyo mapito yangu, Maumivu ni moja kati yangazi zangu, Na hayazui macho kupenda yakipenda, Halafu haikomi roho hata kama ilitendwa, Najua hauamini nakupenda……………, Nisicho pinga mimi nakupenda………., Mwenzio ninachoamini nakupenda…….., Sibishani na roho silipingi hilo, Pre-Chorus Nagombo hagombo hainya hee, Hateli hateli ndalawa hee, Mondine mondine mama wangee, Naukinio mama…., Legombo hagombo hainya hee, Hateli hateli ndalawa hee, Mondine mondine nenyiteliwahee, Naukinio mama…., (Uwoohoo) Chorus Sometimes I miss you(Ooh Mama), Sometimes I miss you(Kipenzi changu), Sometimes I miss you(Kitinda tinda cha roho), Sometimes I miss you, Sometimes I miss you(Sometimes mama), Sometimes I miss you(eheeeee), Verse 2 Ulinipeleka race ikafa break maskini roho yangu, Bado ...

Lava Lava - Kilio Lyrics

Lava Lava KILIO LYRICS [Verse 1] Hhhm Hhhm Hali Yangu Mbaya Anifikiria akipata muda (Akipata muda) Moyo ameshaugawa Pakacha penzi linavuja (Limeshavuja) Mwenzie nna pagawa nahisi uchizi Na network haisomi Hhhm Anayofanya si sawa nakosa usingizi Mwilini miwasho na vichomi Eeeiiihh!! [Bridge] Mwambiee....! Kuachwa mateso nasulubiwa Mwenzie....! Yatima wa penzi mwana mkiwa Oh mie eeh! Mapenzi ugonjwa nimezidiwa Ni yeye..! Mwengine sioni kunitibia Uh! [Chorus] Kilio Oh Kilio Oh Kilio na penzi langu Kilio Oh Kilio Oh Huruma Haana Kilio Oh Kilio Oh Yarabi Mola wangu Kilio Oh Kilio Oh Japo simama [Verse 2] Yee ndio barafu Niliemlia yamini Pemba karafu marashi yangu mwilini Utamu wa ndafu Mbona ameuitia kwinini Amenichezea rafu Penzi amelikafili Eh..! Yee anajivinjali mwenzake nadoda Napata tu habari anagawa uroda Tetemeko moyo kupenda uoga Najiepusha mbali kukwepa vihoja [Bridge] Mwambiee....! Kuachwa mateso nasulubiwa Mwenzie....! Yatima wa penzi mwana mkiwa Oh mie eeh! Mapenzi ugonjwa nimez...