Diamond Platnumz
"Niache"
Eti nikuombee mema
Na baraka uzidi fanikiwa ah
Siwezi kamwe wala mhh
Ni sawa na kuiforce sinema
Kuitazama na haijanivutia
Lazima tu ntalala oh
Na kwa barabara ukipita
Naenda kulia ukiniona kushoto
Sitaki hata tuonane mhh
Usije wala ukaniita
Donda vilia utanchochea tu moto
Nisije nkutukane mhh
Kinachoniumiza nafsi
Kunisikitisha kwa watu
Kujishongondoa kumbe mapenzi
Sio watu wakati naezidisha mwenzangu
Nje we unatoa
Wewe simenti mimi mchanga kasema
Penzi tujenge lisije loa
Najitia mkandarasi naezeka mabati
Wewe chini kenchi unabomoa
Niache niache niache
oh Niache niache
Nipambane na moyo wangu niache
Niache niache
Moyo wangu una hasira
Ohh niance niache
Oh
Najitahidi nisilale kwenye kitanda
Huenda ntapunguza ndoto zako
Mwilini nina machale utadhani mwanga
Yote kusahau uwepo wako
Laiti kama ningekuwa gari
Ningekugonga barabarani
Ama nyuki mtoa asali
Nkungate sura wasiitamani
Hivi wewe ungo ulivunja mwali
Ama ulivunja sahani
Kuniundia mateam kwenye mitandao
Vijembe vya kazi gani
Kinachoniumiza nafsi
Kunisikitisha kwa watu
Kujishongondoa kumbe mapenzi
Sio watu wakati naezidisha mwenzangu
Nje nae unatoa
Wewe simenti mimi mchanga kasema
Penzi tujenge lisije loa
Najitia mkandarasi naezeka mabati
Wewe chini kenchi unabomoa
Niache oh niache niache
Mimi moyo wangu una hasira niache
Tena ukae mbali niache
Ohh niance niache
Usiwapigie rafiki zangu
Niache
Usithubutu hata simu yangu niache
Chonde tafadhali
Niache niache
Ntakudanganya kwa tabasamu
Ntakudangany kwa kucheka
Ntakudanganya hata kwa salamu
Ila moyoni nakuchukia
Nitakudanganya kukufollow
Nitakudanganya kucomment
Nitakudangaya kulike picha
Ila siwezi kukuzimia
Mxiuuuuu
Nyashinski "Hayawani" Kabla Swala ukamilishe Mama Tafadhali Mola mwambie Milele anichunge mi nisije zama Mashetani yasinivamie Chuki,wivu tunakutesa Linda kwako usiwaskie Kwa nini hatuwezi sote kupenda Oii wenzangu acha niwaambie Labda si sote wendawazimu! Labda laana yetu pesa Kesho ukipoteza kila kitu Dunia nzima itakucheka Wanaomba ntiliwe chai yangu sumu Wabaki hao ndio kusema Kesho wapigie demu wangu simu Asahau alivyonipenda! Oooh na mahayawani Hayayayaya Hayawani hawa wana si watu hawa Hayayayaya Binadamu kageuka mnyama! Hayawani hayawani hayawani Hayawani, hayawani hayayayaya Hayawani hayawani hayawani Hayawani, hayawani hayayayaya Tunaongezea nini bidii? Na roho ya mwanadamu haitosheki aki Sorry if I never made u happy I can't be there for everybody It's easy to see Wengi huishi kutafuta kasoro kwako Why man so money minded You wanna take from everyone Man eat man society Huoni haya kuvunja familia Hamna utu ni kujifikiria...
Comments
Post a Comment