Skip to main content

Young Killer ft Harmonize - Unaionaje Lyrics

Young Killer
"Unaionaje"
Young Killer
Haa kumekucha masela ebu tembezeni stick
Maana ake mziki hauna hela ila hela kuipata muziki
Sikufichi ambao hawapendi wanakoma hasa
Ndo naua bendi mana natoboa kila ngoma
Wananisoma ngoma bomba kwa touch
Walioniambia nile kona
Nikawaambia wale penarty
Toka jiji la samaki mama aliponipa siri
Kuwa biashara faster hakuna mwana harakati tajiri
Pili watu wa ajabu sana ila me nina adabu sana
MABESTE hapo nilikusoma mwana
Wasanii wanaloga sana
Kwa maana mipete
Wote tunampenda mungu mana mpaji hapingiki
Sa vipi anayekupa hi
Huku akisema Mungu akubariki
Siwezi kushiriki kwenye dhambi yako
Iba ukatwe mikono kisha ule kwa macho
Nisipovuja jasho alokuwa nyuma yangu atakula wapi
Hapo ndo naamini kuwa mwenye na huruma hana bahati
Huu ndo uwezo binafsi vijana mrelax
Nakuomba usimtusi baba kama hujui utakula wapi
Na hadithi za sungura mi staki
Niletee hadithi za watoto wenye chura wa masaki
Na ukisikia nauza sura juu ya laki
Mana uhai ni faida ikiwa hasara ni nafsi
Chorus
Usichoke .. kunja ukunjavyo me nitatusua
Hizi juhudi sio ndumba akisha panga apangavyo
Huwezi pangua
Asa temeke na ilala
Aha unaionaje yeaah asee unaionaje
Manzese hadi mbagara unaionaje
Aha unaionaje yeah asee unaionaje
Young Killer
Chuki huletwa na wivu na kushushiana hadhi, Na
Rafiki wa karibu ndo atakuharibia kazi
Atakupindishia michongo
Na kukuvunjia nazi
Bongo ukifanikiwa unachukuwa waziwazi
Ila wengine kazikazi wengine tumetoka
Kwenye msoto Kuoga mpaka tushikiwe viboko
Naona umeandaa mkaa alafu huna kiberiti
We mtoto chokoza wana wakuwashie moto
Hebu nipitie kushoto mana unanichukia hata hunisaidii
Unanitukana ata sifuatilii
Sizimii chuki mana mwisho kuroga mwisho
Unakuwa mchawi kwa mana utamu kunoga
Unaogopa nini toba we binti acha uoga
Mbona una guu bia alafu nguvu ni za soda
Sura haishiki poda unasifiwa na mawakini
Kisha unaota mapembe kama umekula nyati
Na hadithi za sungura mi staki
Niletee hadithi za watoto wenye chura wa masaki
Na ukisikia nauza sura juu ya laki
Mana uhai ni faida ikiwa hasara ni nafsi
Chorus
Usichoke .. kunja ukunjavyo me nitatusua
Hizi juhudi sio ndumba akisha panga apangavyo
Huwezi pangua
Kindondoni Mwananyamala
Aha unaionaje yeaah asee unaionaje
Kigamboni Kimara unaionaje
Aha unaionaje yeah asee unaionaje
Harmonize
Chuki nichukie ila roho yangu niachie
Mwenzangu na mie WHY nikipata we uchukie
Na hustle kivyangu nipate shiba
Chamoto sio changu mwiko kuiba
Young Killer
Siofii wanafiki na chuki za binadamu
Na maneno sio traffic kwa hyo hayanisimamishi
Kwenye jam
Usichoke .. kunja ukunjavyo me nitatusua
Hizi juhudi sio ndumba akisha panga apangavyo
Huwezi pangua
Kindondoni Mwananyamala
Aha unaionaje yeaah asee unaionaje
Kigamboni Kimala
Aha unaionaje yeah asee unaionaje

Comments

Popular posts from this blog

Nyashinski - Hayawani (Official Lyrics)

Nyashinski "Hayawani" Kabla Swala ukamilishe Mama Tafadhali Mola mwambie Milele anichunge mi nisije zama Mashetani yasinivamie Chuki,wivu tunakutesa Linda kwako usiwaskie Kwa nini hatuwezi sote kupenda Oii wenzangu acha niwaambie Labda si sote wendawazimu! Labda laana yetu pesa Kesho ukipoteza kila kitu Dunia nzima itakucheka Wanaomba ntiliwe chai yangu sumu Wabaki hao ndio kusema Kesho wapigie demu wangu simu Asahau alivyonipenda! Oooh na mahayawani Hayayayaya Hayawani hawa wana si watu hawa Hayayayaya Binadamu kageuka mnyama! Hayawani hayawani hayawani Hayawani, hayawani hayayayaya Hayawani hayawani hayawani Hayawani, hayawani hayayayaya Tunaongezea nini bidii? Na roho ya mwanadamu haitosheki aki Sorry if I never made u happy I can't be there for everybody It's easy to see Wengi huishi kutafuta kasoro kwako Why man so money minded You wanna take from everyone Man eat man society Huoni haya kuvunja familia Hamna utu ni kujifikiria...

Barakah Da Prince - Sometimes (Official Lyrics)

Baraka Da Prince "Sometimes" Intro T ongeza sauti kidogo Mmmh Na Mr.T Tanzania(Touch) {Bana….} Verse 1 Mateso ni moja yaliyo mapito yangu, Maumivu ni moja kati yangazi zangu, Na hayazui macho kupenda yakipenda, Halafu haikomi roho hata kama ilitendwa, Najua hauamini nakupenda……………, Nisicho pinga mimi nakupenda………., Mwenzio ninachoamini nakupenda…….., Sibishani na roho silipingi hilo, Pre-Chorus Nagombo hagombo hainya hee, Hateli hateli ndalawa hee, Mondine mondine mama wangee, Naukinio mama…., Legombo hagombo hainya hee, Hateli hateli ndalawa hee, Mondine mondine nenyiteliwahee, Naukinio mama…., (Uwoohoo) Chorus Sometimes I miss you(Ooh Mama), Sometimes I miss you(Kipenzi changu), Sometimes I miss you(Kitinda tinda cha roho), Sometimes I miss you, Sometimes I miss you(Sometimes mama), Sometimes I miss you(eheeeee), Verse 2 Ulinipeleka race ikafa break maskini roho yangu, Bado ...

Lava Lava - Kilio Lyrics

Lava Lava KILIO LYRICS [Verse 1] Hhhm Hhhm Hali Yangu Mbaya Anifikiria akipata muda (Akipata muda) Moyo ameshaugawa Pakacha penzi linavuja (Limeshavuja) Mwenzie nna pagawa nahisi uchizi Na network haisomi Hhhm Anayofanya si sawa nakosa usingizi Mwilini miwasho na vichomi Eeeiiihh!! [Bridge] Mwambiee....! Kuachwa mateso nasulubiwa Mwenzie....! Yatima wa penzi mwana mkiwa Oh mie eeh! Mapenzi ugonjwa nimezidiwa Ni yeye..! Mwengine sioni kunitibia Uh! [Chorus] Kilio Oh Kilio Oh Kilio na penzi langu Kilio Oh Kilio Oh Huruma Haana Kilio Oh Kilio Oh Yarabi Mola wangu Kilio Oh Kilio Oh Japo simama [Verse 2] Yee ndio barafu Niliemlia yamini Pemba karafu marashi yangu mwilini Utamu wa ndafu Mbona ameuitia kwinini Amenichezea rafu Penzi amelikafili Eh..! Yee anajivinjali mwenzake nadoda Napata tu habari anagawa uroda Tetemeko moyo kupenda uoga Najiepusha mbali kukwepa vihoja [Bridge] Mwambiee....! Kuachwa mateso nasulubiwa Mwenzie....! Yatima wa penzi mwana mkiwa Oh mie eeh! Mapenzi ugonjwa nimez...