Skip to main content

Posts

Showing posts from August, 2017

Harmonize - Sina Lyrics

Harmonize "Sina" Verse 1 Ujana ni maji ya moto yashaniunguza mimi nataketea (Youth is hot water , I have burned and i am lost) Niliwakana watoto wangeniuguza sikutegemea (I abandoned my childen ,they took care of me i never imagined) Na kama dunia tambala langu lishatoboka (If the world is a rug mine is torn already) Sina hata pakulala nakesha kwa Kimboka (I dont even have a place to sleep , I sleep at kimboka street) Wale marafiki niliokula nao na kunisifu sasa siwaoni (He friends that used to proud of me , I no longer see them) Eti sina kiki siendani nao kwa kuwa sina kitu mfukoni (I am not trending so i cant cope with them because i dont have a cent) Kama pesa nilipata nikadharau hadi wazazi (I had money before but i despised my parents) Nikakesha kula bata najisahau (I used to spend and party hard) Na Kumwaga radhi Chorus Wa kunifariji Oooh sina Ooh yani sina eeh Oooh sina Wa kunipa imani Ooooh sina Ooooh sina mama Ooooh sina eeh oooh sina hat...

Young Killer ft Harmonize - Unaionaje Lyrics

Young Killer "Unaionaje" Young Killer Haa kumekucha masela ebu tembezeni stick Maana ake mziki hauna hela ila hela kuipata muziki Sikufichi ambao hawapendi wanakoma hasa Ndo naua bendi mana natoboa kila ngoma Wananisoma ngoma bomba kwa touch Walioniambia nile kona Nikawaambia wale penarty Toka jiji la samaki mama aliponipa siri Kuwa biashara faster hakuna mwana harakati tajiri Pili watu wa ajabu sana ila me nina adabu sana MABESTE hapo nilikusoma mwana Wasanii wanaloga sana Kwa maana mipete Wote tunampenda mungu mana mpaji hapingiki Sa vipi anayekupa hi Huku akisema Mungu akubariki Siwezi kushiriki kwenye dhambi yako Iba ukatwe mikono kisha ule kwa macho Nisipovuja jasho alokuwa nyuma yangu atakula wapi Hapo ndo naamini kuwa mwenye na huruma hana bahati Huu ndo uwezo binafsi vijana mrelax Nakuomba usimtusi baba kama hujui utakula wapi Na hadithi za sungura mi staki Niletee hadithi za watoto wenye chura wa masaki Na ukisikia nauza sura juu ya laki M...